Gari la kumwagilia maji likipunguza vumbi uwanjani
Ni uwanja wa mpira wa miguu Kabanga wilayani Ngara ambapo mwenge wa uhuru utapokelwa hapo na kulala hapo leo tarehe 23/07/2016.



Eneo la kituo cha afya 


Eneo la Kituo cha polisi na kauli mbiu juu ya upigaji vita matumizi ya madawa ya kulevya.



Kituo cha kikundi cha vijana wa Kabanga cha Matunda.




 
Top