Baada ya kukatika kwa umeme majira ya saa moja na dakika shirini na tatu na kusababisha karibu mikoa yote ambayo imeunganishwa na Gridi ya taifa kukosa nishati ya umeme na kusimamisha shughuli za bunge ikiwemo zoezi la upigaji wa kura ya bajeti ya serikali, mkurugenzi mtendaji wa shirika la umeme nchini Tanesco mhandisi Felchesim Mramba ametoa afafanuzi juu ya kukatika huko kwa umeme na kubainisha kuwa mafundi wa shirika hilo wanaendelea kufanya uchunguzi nini kimesababisha tatizo la kukatika kwa umeme na kusababisha usumbufu kwa wateja wa Tanesco.
CHANZO:ITV
 
Top