SIASA
Maazimio ya Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA.
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) MAAZIMIO YA KIKAO CHA KAMATI KUU ILIYOFANYIKA HOTELI YA BAHARI BEACH LEDGER PLAZA, 23-26 JULA...
Kwa habari za uhakika
SIASA
Maazimio ya Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA.
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) MAAZIMIO YA KIKAO CHA KAMATI KUU ILIYOFANYIKA HOTELI YA BAHARI BEACH LEDGER PLAZA, 23-26 JULA...
SIASA
Wabunge wa Upinzani Waziba Midomo yao Kwa Karatasi na Plasta .. Kisha Kutoka Nje ya Bunge leo June 20, 2016.
Wabunge wa Kambi ya Upinzani Bungeni,Nchini Tanzania leo,June 20, 2016 wametumia mtindo mpya kueleza hisia zao baada ya kuamua kutoka k...
SIASA
Mhe.Mwita Waitara Azusha Tafrani Baada ya Kutaka Kumchapa Ngumi Mbunge wa Kasulu Aliyedai Tundu Lissu na Mnyika Ni Vichaa.
Mbunge wa Ukonga,Mhe. Mwita Waitara (CHADEMA) ametolewa nje ya Bunge baada ya kutaka kumkwida Mbunge wa Kasulu Vijijini,Mhe. Agustine ...
SIASA
Wabunge Wanawake UKAWA watoka nje ya Bunge baada ya Mbunge wa CCM Kuwatuhumu Kwamba Wamepata Ubunge Kwa Kufanya Mapenzi na Viongozi Wao.
Wabunge Wanawake wa Upinzani wametoka wote nje ya Bunge kwa madai ya kudhalilishwa bungeni na Mbunge wa jimbo la Ulanga Goodluck Mlinga...
SIASA
Mshahara wa Rais waingia bungeni
Rais John Magufuli Kauli hiyo ya Peneza aliyotoa wakati akichangia mjadala wa Mpango wa Pili wa Maendeleo ya Taifa wa Miaka Mitano, ...
SIASA
Chadema wakomalia utumbuaji majipu
Katibu wa Chadema wa mkoa, Henry Kilewo Jumanne wiki hii, Rais John Magufuli alitegua mtego wa Mkuu wa mkoa huo, Paul Makonda kwa ku...
SIASA
Jaji Warioba: Anayofanya JPM tulimwandalia Bunge likafuta
Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba akizungumza kwenye mkutano wa kitaifa baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, uliofanyika jijini...
SIASA
CUF YATANGAZA RASMI KUTOMTAMBUA SHEIN KUWA RAIS WA ZANZIBAR
MAAZIMIO YA BARAZA KUU LA UONGOZI LA TAIFA LA CHAMA KATIKA KIKAO CHAKE CHA TAREHE 2 – 3 APRILI, 2016 KILICHOFANYIKA MAZSONS HOTEL, MJINI ZA...
SIASA
CCM YATOA TAMKO BAADA YA WABUNGE WAKE KUBURUZWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA YA RUSHWA
Kwa kipindi cha hivi karibunin kumekuwepo na tuhuma za baadhi ya wabunge kujihusisha na masuala ya rushwa.
SIASA
Hatutazuia Tv Binafsi Kurusha Live Matangazo ya Bunge.
Wakati Bunge likieleza kuwa haliwezi kuzuia vituo vya televisheni nchini kuonyesha moja kwa moja matangazo ya shughuli za vikao vya Bun...
SIASA
Majaliwa: Sijazuia mikutano ya kisiasa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali ya wabunge katika kikao cha tatu cha mkutano wa pili wa Bunge, mjini Dodoma jana. Picha na...
SIASA
Hakuna mwenye mamlaka ya kuihoji ZEC - Makamba
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Januari Makamba amesema Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imefanya maamuzi sahihi ya ku...
SIASA
Chenge awafunda wabunge kuhusu kanuni za Bunge
Mwenyekiti wa kikao cha Bunge ambaye pia Mbunge wa Bariadi Magharibi Andrew Chenge amewataka wabunge kujifunza kwa umakini namna bora ya ...
SIASA
CUF yatoa msimamo kutoshiriki Uchaguzi mkuu wa Zanzibar:
CHAMA cha Wananchi CUF kimetoa msimamo wake wa kutoshiriki katika uchaguzi Mkuu wa Zanzibar uliotangazwa kufanyika Machi 20 mwaka huu kuf...
SIASA
Bunge la 11 Linaanza Leo January 26, 2016 na Haya ni mambo Nane yatakayowasha Moto Bungeni.
Kikao cha pili cha Bunge la Kumi na Moja linalotarajiwa kuwa na ushindani mkali wa hoja kati ya wabunge wa vya upinzani vinavyounda UKA...
SIASA
BAADA YA DR SLAA KUIKACHA CHADEMA, HUYU NDIYO KATIBU WA CHADEMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinafanyia kazi uteuzi wa Katibu Mkuu wa chama hicho kufuatia aliyekuwa Katibu Mkuu wake, Dk....
SIASA
MWAKYEMBE: TUTAMALIZIA MCHAKATO WA KATIBA MPYA KUANZIA PALE ULIPOISHIA
Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe amesema Rais amempa kazi ya kuhakikisha anakamilisha mchakato wa Katiba Mpya pamoja n...
SIASA
JAJI MARK BOMANI AMSHAURI MAALIM SEIF AKUBALI UCHAGUZI URUDIWE
Jaji Mkuu na Mwanasheria Mkuu Mstaafu, Mark Boman akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo. Na Chalila Kibuda,Glo...
SIASA
MHESHIMIWA GODBLESS LEMA ATANGAZWA MSHINDI UBUNGE JIMBO LA ARUSHA MJINI
Mgombea Ubunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Jimbo la Arusha Mjini, Mh Godblees Lema ameibuka Mshindi na kutangazwa kuwa...