Kamanda wa polisi wa Lindi Kamanda Renata Mzinga amethibitisha taarifa ya kutokea ajali ya gari No. STL 1615 LAND ROVER 110 YA TASAF MASASI, iliyokuwa inatokea Viwanja vya nane nane mkoani lindi kuelekea Masasi Ikiendeshwa na Kesi Mwaijande (47yrs) na kupata ajali katika kijiji cha Mtama Lindi Vijijini, Sasa Idadi hiyo ya waliofariki yafikia Nane na Majeruhi Tisa. Akizungumza na Lindiyetu.com Kamanda Mzinga amesema majeruhi sasa wamefikia Tisa na wamekimbizwa katika Hospitali ya Nyangao.

HII HAPA NI ORODHA YA MAJERUHI

Habiba d/o Amlima, 49yrs, makua, Diwani mbonde masasi
Maimuna d/o Chiputa, 42yrs,mwera, Diwani masasi mjini.
Exaveria d/o mhagama, 44yrs, mngoni, Diwani masasi mjini.
Abrahamu s/o Mohamed, 45yrs, makonde, mkulima, mtama.
Brandina s/o Nakajumo, 60yrs, makua, Diwani mwenge mtapika masasi.
Asha d/o Abas milanzi, 56yrs, makua, Diwani viti maalum masasi.
Shabani s/o Issa kitemwe, 21yrs, makonde, mkulima, mtama.
Ally s/o Adamu, 22yrs, makua, mkulima, mtama.
Dereva .
WALIOKUFA

Kadi s/o Issa salum, 33yrs, mwera, mkulima,mtama.
Mariki s/o selemani, 24yrs, mwera, mkulima, mtama.
Juma s/o Ally Ausi, 21yrs, myao, mkulima, mtama.
Rajabu s/o Alfan, 17yrs, makonde, mkulima, mtama.
Said s/o Salum mchora, 24yrs, makonde, mkulima, mtama.
Fadhili s/o mchalasi, 26yrs, makonde, mkulima, mtama.

na wa 7 na 8 bado hawajafahamika.

TAARIFA HIYO IMETOLEWA NA D.5710 SGT ISSA, D.7178 CPL GHARIBU NA F.669 CPL DANIEL. CHANZO CHA AJALI NI MWENDO KASI
chanzo: lindi yetu blog
 
Top