AJALI YA MOTO:- Tazama Picha 4 za kuungua moto na kuteketea kwa basi la 5 Aliance
Hili ni basi la kampuni ya 5 Aliance ambalo linafanya safari zake kati ya Mtwara na Dar es salaam limeungua asubuhi ya August 09,2014, likitokea mkoani Mtwara kuelekea Jijini Dar es salaam.
Taarifa ya awali inasema kuwa hakuna abiria aliyepata madhara yoyote juu ya kuungua kwa basi hili ambalo limeteketea kijiji cha Mihambwe mkoa wa Lindi.