Habari za uhakika zilizolifikia gazeti hili zinasema kwamba kikao cha dharura cha CCM kilichofanyika jana kimetaka Bunge la Katiba (BMK) liahirishwe.
Hii ni baada ya kujiridhisha kwamba akidi ya 2/3 kutoka Zanzibar haitatimia, hivyo ni bora kuahirisha bunge hilo kuliko kuteketeza fedha za watanzania ambazo zingetumika kubosesha huduma za jamii zilizo taabani kama vile maji, afya, miundombinu na elimu.

Chanzo:Mtanzania
 
Top