GARI LATEKETEA KWA MOTO MKOANI MOROGORO Sunday, August 31, 2014 Unknown MATUKIO A+ A- Print Email Gari dogo likiteketea kwa moto leo maeneo ya Msamvu mkoani Morogoro. Gari la zimamoto likiwa limefika na kuanza kazi ya kuuizima moto huo.Zoezi la uzimaji wa moto huo likiendelea. Wananchi wakishuhudia janga la moto lililotokea.