Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Klabu ya Simba, Collin Frisch (kulia), akimsindikiza kwenda kupanda gari kocha wa timu hiyo Zdravko Logarusic 'Loga', wakati wakitoka katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana jioni, baada ya kutimuliwa kuifundisha timu hiyo. Kocha huyo alikuwa na mkataba wa mwaka mmoja wa kuifundisha timu hiyo.
Kocha akiondoka huku akiwa aamini kilichomtokea.
HAPANA CHEZEA FASHENI WEWE: JB BONGE LA BWANA NA SWAGGGA ZA KISHAROBARO AZUA GUMZO! BOFYA HAPA!
Gari namba T 853 BGS alilotumia kocha huyo wakati akiondoka katika hoteli hiyo baada ya kutimuliwa.