DRC imekuwa ni nchi ya kwanza nje ya Africa Magharibi kuthibitisha uwepo wa wagonjwa wa Ebola. Ugonjwa huu umeshasababisha vifo vya watu 1427 hadi sasa.
WATU 8 WAGUNDULIKA KUWA NA VIRUS VYA EBOLA NCHINI CONGO