Vyuo mbalimbali vimeanza kutoa majina kwa waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu. Stella Maris Mtwara, Makumira, St.Joseph, Saut, CUHAS na vingine. Nitaendelea kuwafikishia kadri vyuo husika vinapoweka. Majina yanaonekana kwenye links hapa chini
 
Top