Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akionesha sehemu ambazo daraja hilo jipya litakapojengwa pembezoni mwa daraja Selander kuanzia hospitali ya Aghakan hadi barabara Kenyata. Sehemu ya Daraja hilo pekee litakuwa na urefu wa km 1.03 Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile akiwa na ujumbe kutoka Serikali ya Korea Kusini pamoja na Wizara ya Ujenzi mara baada ya kusaini Mkataba wa Muhtasari wa Majadiliano leo jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile kulia akimshukuru Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli mara baada ya hafla ya utiaji sahihi wa Muhtasari wa Majadiliano

 
Top