Dereva anaesambaza Dawa kutoka Bohari kuu MSD Kanda ya Muleba Bw. Philipo Kasase akisimamia zoezi la ushushaji Maboksi ya aina mbalimbali ya dawa za Binadamu leo Desember 09,2014 kwenye viwanja vya Halmashauri ya wilaya ya Ngara mkoani Kagera,Dawa hizo zinataraji kugawiwa kulingana na mahitaji ya Dawa katika Vituo vya Afya.