Zitto Kabwe


Zitto Kabwe ameweza kuonyesha Hisia zake juu ya Hatua ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Federick Werema ya Kujiuzulu wadhifa wake wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Zitto Amepost katika Moja ya Mtandao wa Kijamii na Kuandika Haya:-

"Nimepokea taarifa ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kujiuzulu na nimeshangazwa na sababu alizozitoa kujiuzulu. Alipaswa kufukuzwa kazi na kufikishwa mahakamani kwa uzembe na matumizi mabaya ya ofisi. Hata Rais Kikwete asipofanya hivyo, Rais ajaye atafanya hivyo".

 
Top