Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika gari maalum mara tu baada ya kuwasili katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam muda mfupi kabla ya ufunguzi wa sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru wa Tanganyika.
Jukwaa kuu ambapo viongozi mbalimbali walikaa katika sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru wa Tanganyka.

Maelfu ya wanachi wajitokeza katika maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru wa Tanganyika leo jijini Dares salaam.

Vikosi vya ulinzi na usalama katika maadhimisho hayo.
Mamia ya wananchi wajitokeza katika maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru wa Tanganyika.

Wananchi waliohudhuria maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika yaliyofanyika katika uwanja wa uhuru.
Jukwaa kuu ambapo viongozi mbalimbali walikaa katika sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru wa Tanganyka.
Maelfu ya wanachi wajitokeza katika maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru wa Tanganyika leo jijini Dares salaam.
Vikosi vya ulinzi katika maadhimisho hayo.
Maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru wa Tanganyika yamefanyika leo hii katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Katika maadhimisho hayo mgeni rasmi alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete.
Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni “Ingia katika historia ya nchi yetu jitokeze kuipigia kura Katiba inayopendekezwa”.

Top