Mwili wa Marehemu ukichukuliwa na Polis kwa hatua zaidi
Tukio hilo limetokea asubuhi ya leo huko wilayani Sengerema Mkoani Geita Likihusisha Bus aina ya Zuberi lililokuwa likitokea Mwanza kwenda Ngara,ambapo liliacha njia na kumgonga bodaboda huyo na kufariki papohapo,chanzo cha ajali hiyo bado kujulikana.

 
Top