Kikwete: Kimsingi Fedha zilizokuwa kwenye akaunti ni Mali ya IPTL, kwani zililipwa na Tanesco kama tozo ya Umeme wa IPTL
Kikwete: Taifa halikupata hasara yoyote kwakuwa fedha hazikuwa za Tanesco na amelipwa mmiliki halali ambaye ni IPTL

Kikwete: Hili sakata la ‪#‎TegetaEscrow‬ lina mambo mengi, najaribu kuyaeleza pole pole ili mchanganuo wake ueleweke

Kikwete: Akaunti ya tegeta escrow ilianzishwa kwa kuweka fedha kuilipa IPTL ambazo Tanesco ilikuwa inalip

Kikwete: Kila mtu alisema lake, mara kuna watu wamekwenda kwenye benki na wamebeba fedha kwenye viroba, lumbesa na sandarusi.

Kikwete: Uamuzi wa mahakama, na ushauri wa mwanasheria mkuu, uamuzi ule ulitiliwa shaka na kuonekana haukuwa sahihi

Kikwete: Fedha hizi haziwezi kuwa hazina mwenyewe maana mwenyewe ni IPTL

Kikwete: Fedha zilizowekwa kwenye akaunti ya escrow hazina sifa ya kuhesabika kama ni fedha za Tanesco.




 
Top