Mwenyeketi mtendaji wa makampuni ya IPP Mh Regnald Mengi leo amemetoa taarifa kwa vyombo vya habari kuonya, Pamoja na kukanusha vikali taarifa zilizotolewa juu yake na Naibu Waziri Wa Nishati Na Madini Stephen Masele kua ndiye aliyempa Ole Sendeka Mabilion ya Pesa kuwahonga Wabunge kupigilia msumari Juu Ya Suala ESCROW,amekanusha Na Kuita Madai Hayo Ni Ya Uongo. Pia Amemwita Katibu Nkuu Wizara Ya Nishati Na Madini Eliakimu Maswi Kua Mwongo Kusema Kua Ana Ushahidi Wa Mazungumzo Yake Na Ole Sendeka. Aidha Mengi Amemtaka Mh Wasira Aache Uongo Kudai Kua Yeye(Mengi) Ndiye Anayehonga Wabunge Kupinga Uchotwaji Wa Pesa Za ESCROW ACC. Mh. Mengi Ameomba Kua Mwenye Ushaidi Wa Madai Hayo Auweke Hadharani Ili Ukweli Ujulikane.Mengi Amehitimisha Kwa Kuwaomba Vimgozi Wa Dini Wawasaidie Watu Hawa Ili Nchi Yetu Ibaki Kua Na Amani.
Source: ITV.