Mbunge wa Kigoma Kusini kupitia NCCR-Mageuzi David Kafulila amesema kwamba analo bomu lingine kuhusu sakata la uchotwaji wa zaidi ya shilingi bilioni 300 katika akaunti ya Tegeta Escrow.
Mbunge huyo anasema kuwa bomu hilo likilipuka litatikisa serikali na vigogo waliohusika katika kashfa hiyo akiwemo Waziri wa nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo.
 
Top