ASKARI WA USALAMA BARABARANI AKIWA ENEO LA TUKIO KUPIMA AJALI
PIKIPIKI YA DEREVA BODABODA ILIVYOKUWA NDANI YA MFEREJI BAADA YA KURUSHWA KWENYE MTALO

BAADHI YA WANANCHI WAKIANGALIA PIKIPIKI ILIVYOTUPWA KWENYE MTALO HUKU NYUMA IKIONEKANA GARI HIYO

UMATI WA WAKAZI WA IGOMELO WAKISHUHUDIA AJALI HIYO

HII NDIYO GARI ILIPATA AJALI YA KUGONGA MWENDESHA BODABODA NYENYE NAMBA T915CTU .

BAADHI YA WANANCHI WAKIANGALI NYUMA GARI HIYO .

HII NDIYO KIJIWE CHA MAREHEMU CHARLES DAUD JILALA MAENEO YA IGOMELO .

MKUU WA USALAMA BARABARANI ROBERT SEWANDO AKIANDIKA MAELENZO TOKA KWA MASHUHUNDA WA AJALI HIYO .

BAADHI YA WAKAZI WA IGOMELO WAKISHANGA JINSI AJALI HIYO ILIYOTOKEA .

MWILI WA MAREHEMU CHARLES DAUD JILALA UKIWA UNAPELEKWA KATIKA CHUMBA CHA KUHIFADHI MATI KATIKA HOSPITAL YA WILAYA YA KAHAMA

MASHUHUDA WAKITOA MAELEZO KUHUSA AJALI HIYO.

ENEO LA TUKIO JINSI LILIVYOKUWA MUDA MCHACHE BAADA YA AJALI.


HII NDO KONA ALIYOFUMULIWA NAYO BODABODA HUYO.


GARI LA WAGONJWA LIKIFIKISHA MWILI WA MAREHEMU HOSPITALI.




WANANCHI WA ENEO LA IGOMELO WAKIWA BADO HAWAAMINI KILICHOTOKEA.

 
 
 
Top