Wanafunzi wa mwaka wa kwanza Diploma,Higher Diploma na Certificate tawi la Ngara,Mkoani Kagera.
DAR ES SALAAM INSTITUTE OF JOURNALISM AND MASS COMMUNICATION-NGARA BRANCH.
(Proprietor of TUPOSE Polytechnics Limited)
P.O. Box 12893, DAR-ES SALAAM.
TANZANIA.
Tel: +2558421849 / +255689594150/ +255713 112 84
E Mail:dijmc@ngara.com,dijmcinfo@gmail.com
Website: www.dijmc.ac.tz
NGARA- BRANCH
Baada ya serikari ya Tanzania kuja na mkakati wa kuanzisha shule za sekondari katika kila kata ilioanza mapema mwaka2006.
Mkakati huu ulifanikiwa ambapo shule za sekondari za kata ziliongezeka kila mwaka mpaka sasa 2015.
Lakini katika kuanzisha shule hizi mambo makuu manne yaliachwa nyuma ikiwa ni:
Kutoweka mazingira rafiki ya shule hizi kwa mwanafunzi.
Kutokua na walimu wa kutosha na wenye taaluma sahihi ya kufundisha watoto
Kutotoa vifaa vya kujisomea na kufundishia kama vitabu vya ziada na kiada.
Kutoweka mpango wa maabara ili kujifunza kwa vitendo hasa masomo ya sayansi.
Baada ya vitu hivyo kuachwa nyuma na ni vitu vya msingi sana kwa mstakabari wa elimu bora,amabapo imefanya idadi kubwa ya wanafunzi wengi wanaohitimu kuishia kupata alama ndogo baada ya mambo ya msingi sana kama yalivyotajwa hapo juuu kutotolewa kwa ustadi unaotakiwa.
Kibaya Zaidi serikali haikuandaa mpango wa kuwasaidia hawa vijana wetu waliokosa elimu bora kwamba hatima yao ni ipi baada ya masomo yao,kitu kinacho sababisha idadi kubwa ya vijana kukaa vijiweni maana hawajaandaliwa katika mazingira ya kujiendeleza.
Lakini pia kuna hii sharia ya wafanyakazi wa serikaki,kama mtu ni mtumishi wa serikari hapaswi kujiendeleza kabla ya kua kazini kwa mda usiopungua miaka mitatu.
Hii kiukweli haingii akilini kwani kujiendeleza kitaaluma ni sehemu ya kuongeza ufanisi kazini na hata maisha binafsi ya mfanyakazi.Jambo hili limewakosesha vijana wengi wanaofanya kazi katika asasi za kiserikali na wale wanaofanya kazi katika asasi zisizo za serikali kujiendeleza kitaaruma.
Baada ya utafiti uliofanywa na Mr.Eliud Amoni Ruzige kipindi nikiwa nachukua shahada yangu ya uhasibu na Fedha katika chuo kikuuu cha Mtakatifu Augustino-Mwanza mwaka 2014.
Utafiti huu uliibuka na mapendekezo ya kuanzisha vyuo mbalimbali visivyo na masharti magumu ili kuwasaidia vijana wengi wanao maliza kidato cha nne na sita pamoja na wale wanaofanya kazi katika asasi za kiserikali na zisizo za kiserkali kujiendeleza katika maeneo yao ya kufanyia kazi ili kuleta tija na ufanisi kazini na katika maisha yao binafsi.
Ndipo nilifanikiwa kushawishi mkurugenzi wa chuo cha DAR ES SALAAM INSTITUTE OF JOURNALISM AND MASS COMMUNICATION kufungua tawi KATIKA WILAYA YA NGARA.ambapo imesaidia vijana wengi wa wilaya hii ilioachwa nyuma kielimu tangu uhuru mpaka sasa haijawahi kua na chuo chochote cha kusaidia wanajamiii achilia mbali chuo cha ufundi Lemera ambapo pia hakija kidhi mahitaji kwa viwango vyake.
Mpaka sasa tumeshafungua tawi la chuo, eneo la Afriline Kogifa-Ngara barabara ya Nyamiaga mkabara na ikulu ndogo ya wilaya.
Hapa tunatoa program mbalimbali katika ngazi ya Cheti(Certificate) ngazi ya stashahada (Diploma) pamoja na Stashahada ya juu(Higher Diploma) katika kozi zifuatazo:-
Ø Accountancy and Finance( Uhasibu na fedha )
Ø Procurement and Logistic(Ugavi na manunuzi)
Ø Law (Sheria)
Ø Information Communication Technology-ICT(Mawasiliano na tekinologia)
Ø Journalism and Mass communication(mawasiliano ya uma na utangazaji)
Ø Community Development(Maendeleo ya jamii)
Ø Business Administration (Usimamizi na Uratibu wa Biashara)
Ø Record management(Utunzaji wa takwimu na kumbukumbu)
Tumeanza masomo rasmi tarehe.12/01/2015,ambapo mpaka sasa tuna wanafunzi 34 Wanaendelea na masomo darasani.
Binafsi naomba kutoa wito kwa wakazi wa ngara na maeneo jirani kama wilaya jirani za karagwe,Bimlo,Kakonko,Kibondo nan chi jirani kama Rwanda na Burundi kua hii ni fursa pakee ya kupata elimu kwa vigezo nafuu,Gharama nafuu,na karibu kabisa.
TUTAANZA USAJILI WA PILI (INTAKE TWO) TAREHE.2/3/2015.
Tunawakalibisha wale wote waliomaliza kidato cha nne,wafanyakazi wa asasi za serikari na zisizo za kiserikari wanaohitaji kuiendeleza.
Hostel zinapatikana kwa gharama nafuu sana kwa wale wanaotoka mbali na chuo kilipo.
Mimi naamini mtu anapo pata taaruma Fulani ama ya udaktari,uhasibu,ugavi na mengine ni fursa pekee ya kumuwezesha kupata ajira rasmi lakini pia inaweza kumufanya kuweza kujiajili na hatimae kutengeneza ajira kwa watu wengine ikiwa ni mkakati wa kupunguza ajira katika TAIFA letu pendwa la Tanzania.
Nawakalibisheni sana,kama unahitaji maelekezo yeyote juu ya chuo chetu.
Fika Afriline Kogifa eneo tawi la chuo kilipo au wasiliana nasi kwa nambari zifuatazo
0758421849, 0689594150 au 0756258273
Au tuma maelezo yako dijmac@ngara.com/eliudruzige@gmail.com
nasi tutakujibu kwa wakati.
IMETOLEWA NA:-
Mr. ELIUD RUZIGE
BRANCH CORDINATOR DAR ES SALAAM INSTITUTE OF JOURNALISM AND MASS COMMUNICATION-NGARA BRANCH.