Tume ya Taifa ya uchaguzi ya (NEC) imesema kuwa kura ya maoni katiba
inayopendekezwa, haitaweza kufanyika tena
tarehe 30 April hadi hapo itakapotangazwa
tarehe nyingine tena.
NEC imesema sababu ya kuhairisha kura hiyo
April 30 ni kutokana na kutokamilika kwa zoezi
la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura.
Chanzo: EATV