Ajari hii ilitokea jana Julai 01,2015 mkoani Geita na kusababisha vifo vya watu 5. Gari hizo Ziligongana uso kwa uso wilayani Bukombe. Moja ni Toyota Corola na nyingine ni Toyota Raum........Picha zote kwa hisani yaROAD SAFETY AMBASSADORS(RSA)-TANZANIA.