Sehemu ya Katikati ya Daraja la Kigamboni kama inavyoonekana. Picha zote kwa Hisani ya Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Ujenzi.

Taswira ya mbele ya Daraja la Kigamboni ambalo linatajajiwa kumamilika mwezi wa Tisa.

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (wakwanza kulia) akifanya ukaguzi katika mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigamboni. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mfuko wa Hifadhii ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhan Dau. Mradi wa Ujenzi wa Daraja hilo umefikia Asilimia 85, na unatarajiwa kukamilika mwezi wa tisa mwaka huu.

Kazi za Ujenzi wa Daraja la Kigamboni ukiendelea kwa kasi

 
Top