| Gari la kumwagilia maji likipunguza vumbi uwanjani Ni uwanja wa mpira wa miguu Kabanga wilayani Ngara ambapo mwenge wa uhuru utapokelwa hapo na kulala hapo leo tarehe 23/07/2016. |
| Eneo la kituo cha afya |
| Eneo la Kituo cha polisi na kauli mbiu juu ya upigaji vita matumizi ya madawa ya kulevya. |
| Kituo cha kikundi cha vijana wa Kabanga cha Matunda. |