Tetemeko hilo lilisikika maeneo ya Kanda ya ziwa-Kagera na Mwanza nchini Tanzania.
Tetemeko la ardhi lenye uzito wa 5.7 katika vipimo vya richa limekumba eneo la Kagera na Mwanza nchini Tanzania na baadhi ya maeneo ya karibu na Kanda ya ziwa Victoria.

Majengo kadha yanaripotiwa kuharibiwa katika miji iliyo karibu.

Hata hivyo hakuna taarifa zaidi za kuwepo maafa . Mitetemeko mingine midogo pia ilisikika katika mataifa jirani ya Kenya na Rwanda. 





























 
Top