TANZIA. nasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi Emmanuel Kakuba katikati pichani Hapo juu Mrs Henry Kakuba Wa Mshikamano Rusumo wilayani Ngara kilicho tokea usiku wa kuamkia Leo tarehe 10/04/2018 akiwa nyumbani kwake Mshikamano Rusumo baada ya kuugua kwa muda mrefu alipokuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kansa awali aliwahi pelekwa hospitali ya ocean road Dar es salaam ila baadae hospitali walimruhusu aende tu nyumbani ambako amekuwa akikaa kwa kutegemea maombi na chakula chake ili kuwa ni kunywa maziwa tu nayo kwa taabu sana.
Maziko yatafanyika kesho kutwa Alhamisi tarehe 12/04/2018 Mshikamano Rusumo. Mwenyezi Mungu ampokee mama yetu ampe pumziko la milele. Rip mama yetu.
Home
»
MATUKIO
» TANZIA: MTANDAO WA NGARAYETU UNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MRS HENRY KAKUBA WA RUSUMO NGARA.
Related Posts
Taharuki Kumuzuza,Ngara baada ya Madai ya Vifo na Nyumba Kuungua Kimiujiza.
Kaimu Mwenyekiti wa Kijiji cha Kumuzuza Bw Marthon Christopher akionesha moto ulivyounguza Nyumba[...]
Jun 08, 2018Agnes Gerald maarufu kama Masogange, amefariki dunia jioni ya leo April 20.
Akithibitisha taarifa ya kifo hicho Daktari Rama Ngoma wa hospitali ya Mama Ngoma, amesema Agnes[...]
Apr 20, 2018Watatu wafariki Dunia kwa Kuangukiwa na Nyumba Mwanza.
Watoto wawili wa familia moja, Mussa Baraka (2) na Maiam Simoni (4) walifariki dunia kwa kuang[...]
Apr 19, 2018MKAZI WA BUKOBA AJINYONGA. SABABU IKO HAPA
Mtu mmoja mkazi wa Manispa ya Bukoba mkoani Kagera amekufa kwa kujinyonga baada ya kupima afya ya[...]
Apr 12, 2018Mvua yasababisha kaya 45 kukosa makazi Misenyi mkoani Kagera
Kaya arobaini na tano hazina mahala pa kuishi baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo kuezua p[...]
Apr 08, 2018