MWANACHUO WA CHUO KIKUU DAR ES SALAAM AKUTWA HOSTEL AMEFARIKI MCHANA ALIPOKUWA AMEJIPUMZISHA
Mwanafunzi mmoja wa Kike wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam aliyekuwa akisoma accountants mwaka wa pili, leo mchana muda wa saa nane amekutwa amefariki akiwa amelala kitandani chumba cha hostel, Inasemekana aliwaaga wenzake kuwa anakwenda kupumzika kidogo baada ya vipindi, baada ya muda wenzake walimkuta kitandani akiwa kashafariki