Home
»
» Unlabelled
» WANACHUO WA CHUO KISHIRIKI CHA SAUT CHA STELLA MARIS MTWARA WAGOMA NA KUANDAMANA KISA HELA YA BOOM
WANACHUO WA CHUO KISHIRIKI CHA STELLA MARIS CHA MTWARA(STEMMUCO) LEO TAREHE 29 MWEZI MEI, HIVI PUNDE WAMEGOMA
KISA PESA ZAO ZA KUJIKIMU MAARUFU KAMA BOOM .
WANACHUO WAKO BARABARA WANAIMBA WIMBO WA TANZANIA TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE.
ANGALIA PICHA ZA MATUKIO YANAYOENDELEA