Askari wawili wa Tanzania waliokuwa kwenye kikosi cha usalama cha MONUSCO huko Congo, wameuawa hapo jana tarehe 5/5/2015 baada kushambuliwa na watu wenye silaha huko Kivu ya Mashariki.
Katika shambulizi hilo, wanajeshi 13 wamejeruhiwa na waasi hao huku wanajeshi wanne wakiwa hawajulikani walipo.

Msemaji wa MONUSCO, Felix Basse amevieleza vyombo vya habari kuwa shambulizi hilo la kushtukiza limefanywa na waasi hao ikiwa ni siku moja kupita baada ya jeshi la Congo kuwau waasi 16 wa ADF 

Chanzo: Mpekuzi blog

 
Top