Gari alilopata nalo ajali marehemu Mwatuka.

Gari ilikuwa inaendeshwa na dereva wake, ambaye inasemekana ni mwanaye. Maiti ya marehemu Mwatuka imehifadhiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Ndanda.

Clara Mwatuka enzi za uhai wake.

Aliyekuwa Mbunge wa Viti maalumu kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Clara Mwatuka, amefariki dunia Jana Jumapili August 09,2015, jioni baada ya gari lake alilokuwa akisafiria kupinduka lilipokuwa linashuka eneo la Makonde Plateu kuelekea Ndanda, Masasi mkoani Mtwara.
Viongozi waandamizi wa CUF wamethibitisha kutokea msiba huo...Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN.

 
Top