Rais Dk. Magufuli akitokea katika ofisi ya Mkurugenzi wa MOI.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.John Pombe Magufuli ,leo November 9, 2015,amefanya ziara nyingine ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kujionea hali ya utoaji huduma kwa wagonjwa.
Akiwa hospitalini hapo, Rais Magufuli alipata fursa ya kuongea na wagonjwa.
Akiwa hospitalini hapo, Rais Magufuli alipata fursa ya kuongea na wagonjwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuliakimjulia hali Mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za Binadam,Bi Hellen Kijo Bisimba aliyelazwa hospital ya Agakhan mapema leo November 09,2015,kufuatia ajali ya gari aliyoipata mwishoni mwa wiki barabara ya Al-Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam.