Walioomba Diploma na vyeti kupitia Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) wanaweza kutazama kama wamepata vyuo au la kwa kuingia kwenye mfumo wa CAS wa Nacte.
==> Bofya hapa kuangalia <<Selection Status >> 

NB: Tumia username yako na password

==> Kwa wale Form six walioomba kupitia TCU, Selection zilikuwa zinaonekana kupitia http://cas.tcu.go.tz/cas_core/check_results, lakini kwa sasa link imekuwa deactivated na wame iredirect kwenye homepage ya CAS ya TCU ( http://cas.tcu.go.tz/)
 
Top