Kaya arobaini na tano hazina mahala pa kuishi baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo kuezua paa za nyumba na kuharibu zaidi ya Hekta sabini na nane za mashamba katika Kata ya Kasambya Wilayani Missenyi Mkoani Kagera.

Mkuu wa wilaya ya Missenyi Kanali Dennis Mwila ametembelea baadhi ya kaya zilizoathiriwa na mvua hiyo na kutoa misaada mbalimbali kwa familia zenye uhitaji wa haraka
 
Top