Shirika la kuzalisha Umeme nchini TANESCO limesema halijapandisha bei za Umeme kama baadhi ya watu wamekuwa wakisema bali kilichotokea ni ongezeko la tozo ya asilimia 1.1 kama mtu atanunua umeme kwa njia ya simu za mkononi ingawa kama mtu hataki kukatwa tozo hilo anatakiwa kununua Umeme katika ofisi za shirika hilo zilizopo katika maeneo mbalimbali nchini.
 
Top