TANZIA. nasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi Emmanuel Kakuba katikati pichani Hapo juu Mrs Henry Kakuba Wa Mshikamano Rusumo wilayani Ngara kilicho tokea usiku wa kuamkia Leo tarehe 10/04/2018 akiwa nyumbani kwake Mshikamano Rusumo baada ya kuugua kwa muda mrefu alipokuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kansa awali aliwahi pelekwa hospitali ya ocean road Dar es salaam ila baadae hospitali walimruhusu aende tu nyumbani ambako amekuwa akikaa kwa kutegemea maombi na chakula chake ili kuwa ni kunywa maziwa tu nayo kwa taabu sana.

Maziko yatafanyika kesho kutwa Alhamisi tarehe 12/04/2018 Mshikamano Rusumo. Mwenyezi Mungu  ampokee mama yetu ampe pumziko la milele. Rip mama yetu.
 
Top