KOMBE LA FA LATUA EMIRATES

Kombe lilifika nyumbani kwa Arsenal baada ya mkwaju wa Aaron Ramsey kuipa klabu bao lake la tatu katika muda wa ziada wa mechi hiyo. Ushindi huu umemaliza kiu cha miaka tisa cha klabu hiyo kukosa taji hata moja.
Aidha mechi ilimalizika kwa dakika 90 huku timu zote zikitoshana nguvu kwa gori mbili kwa mbil( 2-2) na kupelekea mchezo kwenda dakika 30 za nyongeza ambapo dakika ya 109 Ramsey ameipatia timu yake gori la tatu na la ushindi.

 
Top