Atletico Madrid mabingwa
wapya wa La liga baada ya kutoka sare ya gori 1 kwa 1na Barcelona matokeo
yaliyopelekea kocha wa Barcelona Gerardo Martino kujiudhulu ukocha wa kuinoa
timu hiyo. Pia vijana wa Diego Semione wanajiandaa kupambana na mahasimu wa mji
mmoja Real Madrid katika fainali ya mabingwa wa ulaya (UEFA). Je, watabeba tena
ndoo????