TIBA YA HOMA YA DENGUE
KIASILI
Homa ya dengue iko Malasia, Thailand, Filipino
miaka mingi. Wao watibu na kuzuia isiwapate kwa kutumia Papai wanatafuna na
mbegu zake. Au majani ya papai ma-5, twanga, au ponda, kama blenda inaweza
upate rojo la kijani, kamua weka asali, tumia vijiko vi 3 vya chakula kwa siku. Utajiwekea kinga
hutaugua homa hii. Mjulishe na mwingine. Angalia kwenye internet google, andika
Dengue fever malysia. Utaona wanavyo tumia product za papai wanajikinga na
kupona. Tahadhari ni hatari ikikushika haina tiba. Heri kinga.