WITNESS KIVUYO AIBUKA MISS REDDS HIGHER LEARNING MKOANI ARUSHA.

MISS REDDS HIGHER LEARNING ARUSHA YAFANA SANA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 17 MWEZI MEI 2014, AMBAPO VYUO VYA UDSM TAWI LA ARUSHA, UHASIBU(IAA), TUMAINI, TROPICAL, SOKOINE NA AJTC VYOTE VYA MKOANI ARUSHA VILITOA WASHIRIKI.
MISS WITTNESS KIVUYO KUTOKA CHUO CHA UDSM TAWI LA ARUSHA ALIIBUKA MSHINDI NA KUTANGZWA NA MAJAJI KUWA NDIYE MSHINDI WA MISS REDDS HIGHER LEARNIG KWA MWAKA 2014/2015.

HONGERA SANA MISS WITTNESS KIVUYO NA KILA LA HERI SIKU MOJA USHIRIKI MISS TANZANIA.
 
Top