WANACHUO
WA CHUO KIKUU CHA MWENGE KILICHOPO MOSHI
MKOANI KILIMANJARO LEO WAMESHEREKEA
USHINDI WALIOUPATA JANA KWA KULA PAMOJA CHAKULA CHA MCHANA KWA TIMU ZOTE ZA
MPIRA WA MIGUU, PETE NA MIKONO. PIA NA BAADHI YA MASHABIKI WALIKUWEPO KWENYE
HAFLA HIYO ILIYOFANYIKA KATIKA KANTINI YA CHUO HICHO
HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA HAFURA HIYO.