Aliyekuwa Mkurugenzi wa TBS Bwana Charles Ikerege Ahukumiwa kwenda jela Thursday, August 28, 2014 Unknown HABARI A+ A- Print Email Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu DSM, imemhukumu kwenda jela miaka Mitatu aliyekuwa mkurugenzi wa TBS Bwana Charles Ikerege baada ya kukutwa na hatia katika makosa yaliyokuwa yakimkabili, ikiwa ni pamoja na matumizi mabaya ya Ofisi.