Ndoa ya mwanuziki Jay dee na mtangazaji mashuhuri wa radio Gardner G. Habash inasemekana imevunjika huku Gardner akihama Kimara alikokua akiishi na mkewe na kuhamia kwa moja wa ndugu zake wa karibu sana.
chanzo cha kuvunjika ndoa hiyo bado hakijajulikana moja moja kwa moja ila wawili hao wamekuwa katika migogoro kwa muda.. na si mara ya kwanza kutengana ila this time hali si shwari.
yazidi kusemekana kaka Gardner kazidi michepuko amekua haibi tena anafanya bayana mpaka mwenye mali anajua anavyoibiwa.
kudhihirisha hayo katika ukurasa wake wa Instagram dada jide ameandika "Walking Away From Troubles" ambapo upembuzi yakinifu waonesha mambo si sawa hata kidogo.
Gardner kabla ya kumuoa Jide alikua tayari na mke halali wa ndoa na mtoto mmoja.