Picha ya gari aina ya Coaster Likiwa lime halibiwa vibaya Mashuhuda wa Ajali hiyo wamesema kuwa chanzo cha Ajali hiyo ni Dereva wa Gari kubwa aliye kua amehama Njia na Kuhuamia Upande Usio wake.Jambo lililo mpoteza Uelekeo Dereva wa Coaster na Hatimaye Kupata Ajali hiyo,Amabyo Taarifa za Awali Zilithibitisha kuwa hakuna abiria aliye Fariki eneo la tukio lakini kuna Taarifa Mpya kuwa walio kuwa Majeruhi Wame anza kufariki walipo Pelekwa Kwenye vituo Vya Afya kupewa Huduma. Picha Na Maelezo:Asante Andrew Senka
 
Top