Tundu Lissu ameyasema hayo katika maojiano na kituo kimoja cha radio jijini Dar - es - salaam.
Alipo ulizwa swali kama yeye anadai makada wa CCM wanaitukana tume ya Warioba je na yeye anaweza kulitolea ufafanuzi suala la kumtusi Baba wa Taifa? Anasema "sitaki kuulizwa hili swali kuanzia leo nitatolea ufafanuzi kwa mara ya mwisho mimi sijawahi kumtukana mwalimu nilisema ukweli na wala CHADEMA haikuwahi kuomba radhi kama walivyosema watu.
Sijawahi kukutana na Mama Maria Nyerere japo ningependa kumpa hata shikamoo"

Pia alisema taarifa kuwa UKAWA yapasuka ni uongo mtupu na kuyatuumu magazeti ya Habari Leo Uhuru na Mzalendo kuandika propoganda.

Ameongeza na kusema Mbuge yeyote atakayerudi bungeni kukipata, na "hatarudi bungeni".

Mwisho alisema kuna mbunge mmoja wa mahakama ana elements za UKAWA maana anasema mpaka UKAWA warudi nami ndo nitarudi.
 
Top