Habari kutoka jamii forum.
Leo Septemba 22, 2014 maandamano ya CHADEMA yameanza kutoka kata mbalimbali, wapo walioanzia barabara kuu inayotoka Mwanza kuelekea Musoma Mjini.

Wapo wanaotokea Bweri,wapo wanaotokea wilaya ya Butiama Etaro watu wote hawa wanaenda kukutania ofisi ya mkuu wa mkoa, ofisi ya mkuu wa wilaya na kwingineko kupinga bunge la katiba linaloendelea.

Sisi tunaoanzia Bweri kuelekea mjini kuanzia sasa kwani wananchama wameamua kuandamana usiku na mchana na kusitisha shughuli zote.

 
CREDIT:JAMII FORUM
 
Top