Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa polisi mkoani Morogoro wamevamia ofisi za Chadema wilaya na kukamata viongozi waandamizi watano wa chama hicho waliokuwa wakijiandaa kuongoza maandamano ya kupinga bunge maalum la katiba.
Kwa habari za uhakika