Mratibu wa Programu maalum za Tume ya Kudhubiti Maambukizi ya Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Bw. Renatus Kihongo (wa pili kutoka kushoto) akiongea na wanahabari kuhusu uwekaji wa vituo vya kutoa elimu ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Ukimwi katika vituo vya madereva wa magari yanayosafiri safarindefu. Wa tatu kushoto ni Ofisa Habari wa TACAIDS, Bwana Godlease Malisa na kwanza kutoka kushoto ni Bi. Nadhifa Omar.
(Picha na Benjamin Sawe)
 
Top