Unapofika wilaya ya Ngara mkoani Kagera ,suala la kupata mahitaji sokoni hutaangaika sana kwani kuna masoko ya haja kata ya Rulenge,Bugarama,Kabanga,Nyamiaga hasa lile la KOJIFA Mjini Ngara,Murusagamba na Benaco.

Wafanya biashara na Wanunuzi wa Nafaka katika soko la Rulenge,wilayani Ngara mkoani Kagera, wakichangamka na Camera yetu Makonda Blog leo Septemba 27,2014 ,pamoja na kusema wanakosa masoko ya uhakika walitaja bei ya Debe moja la Maharage Sh.16,000/=,Mahindi Sh.9,000/= na Karanga Sh.36,000/=.




Picha Na:-Mwanawamakonda/Shabani Ndyamukama-Ngara.
 
Top