Wafanya biashara wa Ndizi katika soko la mjini Ngara mkoani Kagera, wamesema kuwa biashara ya Ndizi inawapa faida kubwa sana kwa kuwa watu wengi wamekuwa wakinunua sana bidhaa hiyo katika kipindi hiki na pia walitaja bei ya mikungu ya Ndizi, mkungu mmoja mdogo ni kuanzia sh 5,000/= na mkubwa ni sh 7,000/= mpaka sh 20,000/=.
Baadhi ya mikungu ya ndizi ambayo ipo sokoni tayari kwa biashara katika eneo la soko kuu la ndizi manispaa ya Muleba mkoani Kagera.