HUYU NI MWANAFUNZI MWENYE UMRI WA MIAKA 14, ALISHINDWA KUFANYA MTIHANI WA TAIFA WA DARASA LA SABA 2014 KWA SIKU YA PILI TAREHE 11 SEPTEMBA HAPA JIJINI DAR ES SALAAM BAADA YA KUTEKWA NA MWANAUME NA KUMFUNGIA NDANI KWAKE NA KUMBAKA NA KUSABABISHA MWANAFUNZI HUYO AMBAYE NI MTOTO KUTOMALIZA MTIHANI WAKE WA MWISHO.....HATA HIVYO MTUHUMIWA AMESHIKILIWA NA POLISI TANGU TAREHE 11SEPT NA HAJAFIKISHWA MAHAKAMANI.....MWANAFUNZI HUYU ANALIA SANA

CHANZO:SAM MAHELA
 
Top